Lionel Messi ni mchezaji ambaye hajawahi kutokea duniani, anazo rekodi nyingi katika soka lakini leo tunakumegea rekodi zake tano muhimu #1 Mshindi wa tuzo nyingi za Ballon d’Or (5) Ingawa Ronaldo ...