WAKATI Yanga na Azam zikitibuliwa rekodi kwa kupoteza mechi za kwanza Ligi Kuu Bara, viwanja vya ugenini msimu huu vimeonekana kuwa kaa la moto, huku makocha wakijipanga upya kumaliza ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...
Wakati Ligi Kuu ikiwa katika mapumziko ya wiki mbili kupisha michezo ya kalenda ya Fifa na timu za Taifa, hadi Yanga na Simba zimefuzu kushiriki mashindano ya CAF, lakini bado hazijajua ...
Maandalizi kwa wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga yameendelea kushika kasi Kuelekea michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mnyama Simba atawakaribisha Al Ahly ijumaa ya Machi 29 huku ...