Legendary Tanzanian actor Amri Athuman popularly known as Mzee Majuto is dead. Mzee Majuto passed away while receiving treatment at Tanzania’s Muhimbili National Hospital in Dar es Salaam where he had ...
Taarifa za msiba huo wa nguli wa maigizo zimethibitishwa na Afisa habari wa Muhimbili Aminiel Eligaisha ambapo amesema Mzee Majuto amefariki akiwa anaendelea na matibabu ambayo aliyaanza Julai 31, ...