Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema imeiomba Marekani kufikiria kurejesha safari za ndege za moja kwa moja kati ya nchi hizo mbili.
Waziri wa mambo ya nje wa Poland Radoslaw Sikorski amesema nchi yake haitapeleka wanajeshi kushughulikia kulinda amani nchini Ukraine lakini itaendelea kuratibu kituo cha kusaidia upelekaji vikosi kat ...
Israel na Hamas wanaendelea na mazungumzo yao juu ya kudumisha usitishaji wa mapigano katika Ukanda wa Gaza na kuachiliwa kwa mateka zaidi huku awamu ya kwanza ya makubaliano yao ya kusitisha mapigano ...
Maafisa wakuu wa Urusi wanafuatilia kwa umakini zaidi mstari wa kidiplomasia wanapojitahidi kuboresha uhusiano na Marekani.
Mipango inaaendelea kwa Mawaziri wa Ulinzi Nakatani Gen wa Japani na Pete Hegseth wa Marekani kufanya mkutano wao wa kwanza ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu uwezekano wa Marekani kupunguza ...
Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy walifanya majadiliano ya ana kwa ana jijini Washington ...
Serikali ya China imependekeza kuwa itachukua hatua za kukabiliana na Marekani baada ya Rais wa Marekani Donald Trump ...
جنوب مشرقی ایشیا میں حکام اپنے ممالک میں ایسے آن لائن اسکام مراکز کے خلاف سخت کریک ڈاؤن کر رہے ہیں جو بہت سے غیر ملکیوں کے ...
جاپانی وزیراعظم اِشِیبا شِگیرُو نے امریکی صدر ڈونلڈ ٹرمپ اور ان کے یوکرینی ہم منصب ولودیمیر زیلینسکی کے درمیان جمعہ کو وائٹ ہاؤس میں سخت جملوں کے تبادلے پر تبصرہ کیا ہے۔ ...
روس کی وزارت خارجہ کا کہنا ہے کہ اس نے امریکہ سے کہا ہے کہ وہ دونوں ممالک کے درمیان براہ راست پروازیں دوبارہ شروع کرنے پر غور کرے۔ ...
جاپانی وزیر دفاع ناکاتانی گین اور امریکی وزیر دفاع پیٹ ہیگستھ کی اپریل کے اوائل میں ٹوکیو میں پہلی رو برو ملاقات کے لیے ...